Dkt kikwete afunguka mazito kuhusu Diamond platnumz

Msanii wa Muziki Diamond Platnumz aeleza walichozungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Mrisho Kikwete nyumbani kwake.

."



Diamond amesema kuwa alimuuliza kuwa ni kweli mmedondokabaada ya msanii huyo kudobndoka na Rayvanny wakiwa stejini akiwa Sumbawanga.

"Nilipokuwa Mwanza niliambiwa ananitafuta akanipigia akaniuliza maswali nasikia eti mmedondoka nikamwambia situation ilivyokuwa na tulikuwa hatujaonana muda mrefu na Mzee Kikwete nikamwambia nikirudi Dar ntakuja nikuone baba," amesema Diamond Nairobi.






"Nilivyorudi nikaenda kuonana naye na nilivyoonana nae kuna vitu akanisihi akaniambia kwanza nioe umri umefikakuna clip moja tulikuwa tuko na Tanasha tunahesabu hela akaniambia sio vizuri kuna watu hawana hata riziki kwahiyo mtu akiiona anajisikia vibaya

story na abtwalib makame

Comments