Agizo limetoka kwamba watumishi wawasilishe vyeti kabla ya tarehe 31/3/2017
Hii inaweza kuwa mara ya tatu uhakiki inarudiwa.
Hali hii inatokea wakati bwana Bashite akishindwa kuhakikiwa na hakuna Maelezo yoyote
daaa hii ndio Tanzania wacha tuone movie hii itaishaje,
Comments
Post a Comment