Wema Sepetu sitaki kupangiwa maisha


Nani tena anamchokoza madam Sepenga? Mrembo huyo ameamua kuwaka kwenye mtandao wa Instagram kwa watu wanaofuatilia maisha yake.
Kupitia mtandao huo, Wema ameandika haya

Naomba nitoe tamkoNakipenda Ki-choker changu saaana… And wearing it doesnt make me any less a muslimMaana mshaanza…! My Daddy Sepetu was A Roman Catholic FYI…!!! Wote tunamwamini Mungu… So if u cant accept it, Deal with it…! Kupangiwa maisha mnanijua SIPENDI….

Comments