HUU NDIO UTHIBITISHO WA MAKONDA KU FOJI VYETI

Baada ya mfululizo wa tuhuma dhidi ya kufoji vyeti vya kitaaluma, kuna mwitikio kutoka kwa mtuhumiwa na mamlaka husika, ambavyo vinathibitisha ukweli wa tuhuma husika

Mosi, Ni mhusika kukimbia vyombo vya habari na kukosa utetezi wa kina katika kufoji cheti

Pili, Kushindwa kuanika nyaraka za vyeti vyake vya kitaaluma.
Tatu, Kupungua kwa ujasiri wake wa awali.

Nne, Mamlaka husika kukaa kimya huku ikisisitiza uhakiki wa vyeti kwa Watumishi wa umma.

Tano : Mteule wake kukosa ujasiri wa kulizungumzia, kama ilivyo kawaida yake, Na hivyo kujenga mazingira ya kumlinda.

Sita : Majibu yake kukwepa kutaja cheti badala yake kuibua visingizio kwamba hata kama angepata 0 angekuwa mkuu wa Mkoa.

Saba : Jeshi la polisi kwenda kukagua Gwajima ambaye ndio ameweka wazi zaidi juu ya tuhuma hiyo.

Haya yote bila shaka, kwa wenye fikra yakinifu wameelewa.

HABARI MUHIMU LEO

ALI KIBA AJIPANGA KUMPIKU DIAMOND PLATNUMZ

WEMA SEPETU ATOA POVU KWA WANAOFUATILIA MAISHA YAKE

Comments