petit man muuza madawa mkubwa kwa wasanii

mkuu wa mkoa wa dar es salaam Leo hii ametangaza olodha ya watu kumi na tano vinala wa uuzaji wa madawa ya kulevya
akizungumza na waandishi wa habari Leo makonda amesema
"tumekua tukiwafatilia sana wanaojihusisha na biashara hizo haramu"
katika olodha hiyo ambayo wapo pia vigogo kazaa
makonda amesema kua kutokana na kukamatwa huko kwa meneja huyo wa wasanii wa kizazi kipya
ametoa tamko kua wasanii wote waliiwai kutumia madawa ya kulevya waitwe kituoni kwa maojiano zaidi
ikumbukwe kua wasanii ambao waliwai kutumia au wanatumia madawa ya kulevywa ni
Diana nyange
q chief
chid Benz
young d
nawengineo wengi
sana
source cloud FM

updates 

Mkuu wa Mkoa Dsm (RC) Mchapakazi Hodari, Mh. P. Makonda, usiku wa kuamkia leo amezungukia maeneo mbalimbali ya jiji kufuatilia wanaojihusisha na Mihadarati.
1.RC amefanya mkutano na waandishi wa habari na kuwataja Askari 9 wanaoshukiwa kushirikiana na Wauza madawa.
2. Kuna watu waliokamatwa tayari akiwemo Petit Man.
3. RC amewataka wasanii wafuatao kufika kesho Central Police Station kwa mahojiano
1. Wema Sepetu
2. TID
3. Rachel
4. Mr. Blue
5. Chid benz




Comments