jionee hawa ndio mashoga maarufu walio ambiwa kulipoti ustawi wa jamii na waziri

Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akijibu hoja za wabunge ameviagiza vyombo vya usalama kumtafuta mtu anayejulikana kwenye mitandao ya kijamii kama "James Delicious" kwa kujitangaza kama shoga kinyume cha sheria na kumfikisha mbele ya sheria kujibu tuhuma za kuendesha biashara ya kuuza ngono ya kinyume cha maumbile.

kauli hiyo imetoka Wakati wauza unga wakihaha kutafuta sehemu za kujificha kuukwepa moto wa mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda, siku za mashoga vinara nazo zimeanza kuhesabika.
Vita dhidi ya mashoga hao imetangazwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dr. Hamis Kingwangala, jana.
Naagiza James Delicious, Kaoge Mvuto na Dani Mtoto wa Mama wafike wenyewe Central Police Dar es salaam kwa mahojiano kabla hawajatafutwa,” aliandika kwenye Twitter.
Mashoga hao ni maarufu kwenye mitandao ya kijamii na wamejikusanyia mashabiki wengi.

Comments